Sema Naye
Headlines News :

NEWS

Latest Post

Rais Kikwete azindua Mpango wa Kuzishirikisha Sekta mbalimbali kupambana na Malaria

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Wednesday, September 25, 2013 | 5:49 PM



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiuAV6dDhIgTw_dUxlx5JEReti4GkuiXwTyxfd0uwJI8Wry6j0wI7PSvRueZBknrXnU3d7-zWWzeaNQx2Mjki8mIFootAEJ7c5cWfoJJCqYk8xKX__X2D2gSGh9mkzGPIHFKPK4pRn5oRcs/s1600/0L7C0016.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8QYccPbq2sfrf-Qm9CddccpJ2-TDwkLsgk7mPIexpOSsP7JiI5WecF6RczULIntksLBxDImRdIrJQqsWtaUc4tzAdSnGDG8TvFqsK4bd-wHHcYrpXSn0S6L_4o50hcId38ji0gmiyFf5A/s1600/0L7C0043.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya kuzindua rasmi Mpango mpya wa Kimataifa utakaohusisha Sekta mbalimbali katika kukabiliana na Ugonjwa wa Malaria duniani. Uzinduzi huo umefanyika katika Ofisi za Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani chini ya uratibu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Roll Back malaria Partbership.

Miongoni mwa wageni waliohudhuria uzinduzi huo akiwemo Waziri wa Afya na Ustawai wa Jamii, Dkt. Hussein Mwinyi (Mb.) (kulia) wakimsikiliza Mhe. Rais Kikwete (hayupo pichani) alipokuwa akihutubia.

Rais wa Msumbiji, Mhe. Armando Guebuza akizungumza wakati wa uzinduzi wa Mpango wa kuzishirikisha Sekta mbalimbali katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria.
   Mhe. Rais Kikwete na Mhe. Rais Guebuza wakiwa na wageni waalikwa wengine.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Liberata Mulamula akiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa mpango wa kukabiliana na malaria kwa kuzishirikisha sekta mbalimbali.

Mshauri wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Malengo ya Milenia, Prof. Jeffrey Sachs akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango huo.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjWJnm9x2R7sq2rAifQwtHzpm7j0GTnWUcQHenBJxL8i35UB1DXiUmpiSWRzMOc9KJ7LQOXueglxw3Ij0vtDS0lJjm3jzM5vwC72ZMQpw42qKKNiSrEYOJRAmA8LYyIYf6vY1qdVOSwG2BT/s1600/0L7C0046.jpg

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh5S4zX9-5p0AH-5Gf23p0aMBaHqHwaQ0s0ncvP51fngi0MXQt6L-MRkID2Mluf4s_E9cpwtCaTxxI0MZxgSD1wda6BqsjsL_Sp_0I2G9GbBs8edhQovuJqiNnJ-q6gfrCp8Pu2cQwSbkiF/s1600/0L7C0045.jpg
Mwakilishi wa Taasisi ya Roll Back Malaria Partnership mjini New York Bw. Herve Verhoosel akimkabidhi Mhe. Rais Kikwete mfano wa kifaa cha kufukuzia mbu  wakati wa uzinduzi wa mpango wa mapambano dhidi ya malaria.

Mhe. Mwinyi akifurahia jambo na Bi. Rebeca Grynspan kutoka UNDP pamoja na Bi. Ellen Maduhu, Afisa kutoka Ubalozi wa Tanzania, New York.
Picha na Rosemary Malale

JK na Mama Salma wakutana na Michelle na Barack Obama na Melinda Gates


Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na mwenyeji wao Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya viongozi wanaohudhuria Mkutano Mkuu wa 68 wa Umoja wa Mataifa jijini New York. Picha kwa Hisani ya Rae Lynn Wargo wa  Umoja wa Mataifa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgk1Og_XYY0CvNWa_q-3X4wReUsxSdp_YG5QyTe3kS8TKF_NYNtw2HrtuUHEaYnrRIuCa8aEMoDpbfrkKP4sjT8cNJ1ng3zuYKRcqizUiLodVr2n54JigqoTuA88tozebV66hjhcNsn9I0W/s1600/0L7C0100.jpg
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mama Melinda Gates wa Bill and Melinda Gates Foundation walipokutana katika ofisi za Umoja wa Mataifa jijini New York leo. Picha na Freddy Maro

Balozi Seif Ali Iddi azindua Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Tuesday, September 24, 2013 | 3:16 PM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3SVNNRl62gs_6t_3eh9JEMSyR-A2RuaR0wBR5vqCSfwowYg_kmee53GUnZrRp3t0wdzjtIk3yW5B3I1qIQRbMDoeZhwgJUbkTX9LdNJRqPvMrWUbS3YbOo4wspEo0Ii-QDcK-tSMN6Kn9/s1600/120.jpg
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVAak7V_RNYdupWjbCYejVTwslyZIIVplqYqkBXWr84iLPpT7DAfnhBmrbURA7ihgfGZLn9IhhTRIfslKtjDTKk7pvbCd8UjXSL-VyJw2kjRCtH1wZ_FPPhaiwbYT97uPTExvzySQyCk7E/s1600/119.jpgWaziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia wa SMT Profesa Makame Mnyaa Mbarawa akitoa maelezo kwenye uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani ambapo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjz8wWRH1YseSgXupnhyphenhyphenUsBlzU96sPCticLlh6sYDDFIXq27r3jkhuN-88A2skEh3t31Ep1D7P1fuHZPidI25FcLXEu1M1eSk6tKkcCaFOP4pXlNlogttlOHew-vZ73HDDjpNI8GACSZNgA/s1600/124.jpgMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzN43jfc0pp6KfsCnXtjfUzhd3X_R4EhBkAq29xxlq6x5BVzTbmRa-vSYnCxHnS66alEW1vb5sJQ2jFP244Phq8pcDBXHTb7adVwNwSXPusAc5BibB45-hd4omgrGvgEUhnDoe0gtipoTi/s1600/128.jpgMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi mzima wa Mamlaka ya mawasiliano Tanzania { TCRA } mara baara ya kuzindua mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiJgkHvbeGwtxuzGQHaGkLR-1RGWLQsDfwBud65wgLSLfaBcSpRJCyU8hYZJH5t7HTrKVPPZB2nsYklKv1M_CEo6v1e00MaapiN2WG1dGHgKknlOiDu-JtGarJFsLebQj3aXVuLRwXk7dr6/s1600/134.jpgMakamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali nchini mara baada ya kuzindua mtambo wa masafa ya mawasiliano Zanzibar.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhcKdCthWSvO7hZwO1YDGefHOsRu693O-uBcL9p0J1a9lXEScZzlesDggLCAoRAgxLEiAtBG8jcgkU6cZrspbwlWD12FT0DnGUywEiqJo7nVQNZLDX06RFrGxWLl8tXl1y6ybkDDCi8MNlh/s1600/112.jpgWatoto wa Skuli ya Maandalizi wa Jang’ombe wakitoa burdani safi ya nyimbo ya Kyaso katika hafla ya uzinduuzi wa Mtambo maalum wa usimamizi wa masafa ya mawasiliano Zanzibar hapo ofisi ya Mamlaka ya mawasiliano Tanzania iliyopo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa wa –OMPR – ZNZ.

ASKARI WA JWTZ ALIYEJERUHIWA CONGO NA KUFARIKI AAGWA LUGALO, DAR ES SALAAM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi9yy3zmnIlAI-ZL_WAYdINyFKqmAxcwA8kk6KLCUR8BgT6Xq_-JV59tFJ9uh8cDKeZwyDwgH-c_KDS7Ns8v6Jr92LYeg0FDvlQixq6cYLZuxKLz2C5xQjU8LeYZkG7dhE410Ud5Athh5ac/s1600/JWTZ.jpg
Askari Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa wamebeba sanduku lililohifadhi mwili wa Askari mwenzao, Marehemu Private Hugo Munga alifariki dunia Septemba 18 mwaka huu huko Pretoria Afrika Kusini kufuatia majeraha aliyoyapata akiwa na vikosi vya MONUSCO Congo DRC katika operations ya kuwaondoa waasi wa M23. Mwili wa Munga ulisafirishwa jana kwenda Mkoani Kilimanjaro kwa mazishi. Shughuli hiyo ya kuaga mwili wa marehemu ilifanyika Viwanja vya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJQ2eg2udi7pHjuT3duh4MpFvFy_qjjb6vKGhWxZ5hxlaePr2Wx5li6DhOBCT1UehJHOEhBiAMwu0sLmirxcoyiohhOHbYGMmUbyPo3QNigTxWMS5Isu3Wb54ONYOdHNtW6Op7He1uL2i-/s1600/MAMA+1.jpgMama wa Marehemu, Jovitha Barnaba Munga akisaidiwa kuaga mwili wa mwanae.
 

Mkuu wa Majeshi, Jenerali Davis Mwamunyange akizungumza
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhdzS79BAhqc8RJkiHVLNlft_ox5-FxT5xWTapT2bVNiBBnPuVdo7pj6-GqeISH7HEQJgntPRY2RJS7pEPLPvMKz_2CJIXdng7z1gSTWifX68oQXnomhO-1COxiesa8cyaOHerjnXz5ijcd/s1600/IMG_1553.JPG 

 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi11BizhOawL93HZhBqHRIry0e0m4hg9V5WEJo6dxIX8AG0kg2wx63m9m2idBTh3rQBUiiFgJzZ6rzMGMc9vbkcB7KTw1MEkMxHYaYcKObIW8Ml9A37eYhCiCeG_8jLkl19xaKhRrNNDWFA/s1600/IMG_1522.JPG
Baadhi ya waombolezaji ambao ni Askari wenzake marehemu pamoja na wana familia wakiwa eneo la tukio.Picha Kwa hisani ya Father Kidevu Blog

Kikosi cha wachezaji wa Airtel Rising star Tanzania chawasili nchini kutoka Lagos, Nigeria

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj0RuUSUfZKUjHfD588U78lmcNldmnhoxxsh5eAGSx17Gbud1QHOEWv-vp3zn6p4HIIpfRPwLIHTEJknr6gs6BzTRxhJlZ-PHNelObRm8XwJ8ea_DwiNan1csXJA0vCLkOSLPLQ4WYwhAxc/s1600/Pic+1.jpg
 Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania kikiwasili usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa ndege wa Julius  Nyerere kutoka katika michuano ya Airtel Rising Stars nchini Nigeria

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlkrnfbp_T-hIhGMRMxMt97yV6asVL6mPzO128KEM5ng_M7LzDWgbB5SrLveNDgPY6y8cLSw03vBkr-9S9sWDHczomwbeRoqfR_HDYq6yhEGU4eowQsjNFLwQ6T1ga1pjPcJmDUNkz4JDR/s1600/Pic+2.jpg Timu ya wavulana ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere  usiku wa kuamkia leo

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkxGhoMbyrZeR3q24904zOUUSJ8xJnPfEGlZm5aF0A7BxEVWtrAH4i7QWOGVJ6BS9C6rZpLn-VWnFV6EqFAcHrI9m88EVHNjtjn_6BQqu0YuJ2JTKMhp3pfNL4UkfzQStQsZVX-3b6qCWU/s1600/Pic+3.jpg Mabigwa wa michuano ya Airtel Rising stars Afrika kwa upande wa wasichana Timu ya Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere 

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRtUML6UFrIWmLidg8FYHcBjWmGUQ9jBLgiEj4WYt_X1FzvETrzzwTLpDzDMVEofmn6KderLOGoqODrLb7zYh0zXJktfOVMJn5uch1qT12dKtDEljU39TD2wyVVVRrjG6-zSSoH_n2PB6w/s1600/Pic+5.jpg Kikosi cha timu ya Airtel Rising stars cha Tanzania wakielekea kwenye basi tayari kwenda hotelini mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere  usiku wa kuamkia leo

Mkutano wa 34 wa SADC-PF kufanyika Tanzania

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh4jCrkaWvkbP75Mr_H-SOuVPtUkI8B5YrcKhnIt4_o11IYteIpENvzp-QS5zZaGM5PZpTcN_dPoWYQXOYadb4-uY7AJ-VuG3gWX6NcoMPoWU7XVpCb716-bmFk6JlQVTDICH9R4ZKQWt60/s1600/1.+KB+MEU.NGRDT+JPG.JPG
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashillila akiongoza Kamati ya maandalizi ya Mkutano wa 34 wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi Wanachana wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-PF) mara baada ya kuwasili jijini Arusha na kukutana na wafanyabiashara wanaomiliki Hoteli jijini humo.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhshNUnQCqJU3ZMoEoDrhdxDWEg52CKZGEv_jKtaAGLl6Sb1zjB72zq7DLsfbXsyWVSSx5j09Yk64mCt02ivZrA4hmGncEnZEOJY0MqaJOSfQ_KMkVNEn0HL6oqXRNRaAoFMlvxp-fp-6r/s1600/9.+KB-Ngrdt.JPGDkt Kashillilah akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa Ofisi ya Bunge kabla hajaondoka Arusha kurejea Dar es Salaam.
 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpWYDDt37y_n-UPemBK077BXe9bG09JceDWU34xDfSBRxH20hFDlmMLSQsT3QeNy1wDDLKkjB8JtijzK7PW3GXuvzvRaIhJpNbhW_RcVQtVcuCHJ2Njc_kC1t8tXu6Kzs4UoHVajR1VGKj/s1600/5.NGRDT+.JPG
Kamati ya Maandalizi pamoja na wamiliki wa Hoteli Jijini Arusha wakiwa kwenye picha ya pamoja.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqixM6Gid_jrfRi6VsbaB95coVz5HctY6Py0nm22jfKhwlLKAj-2Xhahr3dkU-vGVNhuxicFRv1PeR9_fjTxiYAyX6RuymoVgoVSejTzEp2P_bK-jgnHN-VDBsyva6TiNdr_e5zMtbaFq-/s1600/3.+NGRDT+Cotages.JPGMoja ya majengo ya Hoteli za Arusha. Mikutano ya Kimataifa ni moja ya viashiria vya kutangaza Tanzania ulimwenguni.

WATANZANIA WAISHIO KENYA WAITIKIA WITO WA KUJITOLEA DAMU KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA TUKIO LA UGAIDI, NAIROBI KENYA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjVZz4p9t_GqnoQj22o-7gzUvV9f8CjdOn0u8MQ16vnO-HiUCWfiNTL-rrQqnkesGUp6WL3kmqYv9E4LX1TCHu7atna7sJWuKJWTf-TRvsHa37FefAgAFm7cZTHyA1XMqZHDx_aH-dUz1Xm/s1600/PICHA+1.jpg 

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjiTl4VZ4PQP58U6S7kDqc4Dm3sfNoWttzGbi4ugzxyf3Ju2kOusLxudL1hXp2ZKj5sNeE8-6KRPQeYvQImonkbeRLLho7kd5LyppqtfYCV-Nye3qdfs0OVCx1_BIjQ3_H70p5lhFV9uSbA/s1600/PICHA+No+2.jpg
Mh. Balozi Batilda S. Burian akiwa katika zoezi la kutolewa damu pamoja na watanzania wengine alioambatana nao.

Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Batilda S. Burian,  leo ameongoza umati wa Watanzania waishio hapa Nairobi, Kenya,  kujitolea damu kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa tukio la ugaidi lililotokea Tarehe 21 Septemba 2013 jijini Nairobi Kenya, ambapo hadi sasa zaidi ya watu 62 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 179 wamejeruhiwa vibaya na wengi wao bado wanaendelea kupata matibabu katika hospitali za Aga Khan University Hospital, Hospitali ya Nairobi ( Nairobi Hospital), na Hospitali ya MP Shah.


Katika tukio hilo pia Mtanzania, Bwana Vedastus Nsanzungwanko, Meneja, Child Protection, UNICEF ni mmoja wa wale walioathirika na tukio hilo ambapo alijeruhiwa kwa risasi na magruneti katika miguu yake yote miwili. Hivi sasa Bwana Vedastus amelazwa katika hospitali ya Aga Khan, Nairobi na anendelea kupatiwa matibabu na hali yake inaendelea vizuri.

Kivuko cha Mv Misungwi na Mv Sengerema Mkombozi wa usafiri wa majini Ziwa Victoria

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhER5Scw4a-yx9ndgKBDNcC_f3XoqbqFhyZGpLS9TVvlwqMkvAT-oHxSmbqaRbuiflkRqXNhze7AyCXzEkOv3MYX1tF91OzNXHMWKY9cgeEB3zDFc_biS2YGlqIWhGCknI368WwQhU9RhL6/s1600/1.jpg
 Baadhi ya abiria kutoka maeneo  mbalimbali wakiwahi usafiri wa kivuko cha Mv Sengerema eneo la Rugongo,tayari kuelekea sehemu mbalimbali kufanya shughuli zao za ujenzi wa Taifa,kama walivyonaswa na Camera ya Glob ya Jamii ilipokuwa ikielekea Mkoani Geita.Kila abiria analipa nauli ya shilingi 400 na magari kuanzia 9000/=

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjwVGR-Mk9KbzhuDDA9Mnjy4Qd3JijPP5Z0CCiHu1fA4DUFGP7vOlgqf8ldkU1qA09C33yBlwcwb20Ulf6ylx0HUXyYOavqUDVcHWBMcdNLHsSYRhe-VDBVLmefBOA1qzPB1cl6vUXZTVgE/s1600/2.jpg Kivuko cha Mv Sengerema kikiendelea kupakia abiria na mizigo kwenye eneo la Rugongo.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJfJG-6RZCER7Morj7cRfJefsbI1tDTigo_chDpLp3xGlvVd606GsbS69HoD_zhVkRbfDDqm3gdJ2oVIq8l_zvEWdpyB8PtCnjTR86W-dxf34AgEO8bQALUIetikWJXSjgVZLNG5KBEs-h/s1600/3.jpg Kivuko cha Mv Misungwi kikipishana na kivuko cha Mv Sengerema (hakipo pichani) ndani ya ziwa Victoria,

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNl3iCLg9n5cprVlZoFWu43A4SRkPlyVRuhZQCUBlVGxw-wk8lRpaQIYgv59MqLaF0qxJgefHhzn8iaMVOCN0c9jHJZEBH5m4p3U8dq7RxZXTVg1DrJFsrFnH2YyO_DzmiXGuHPnx3nfIY/s1600/4.jpg Sehemu ya kumpumzikia  abiria eneo la Busisi kwa upande wa kuelekea Mkoani Geita na maeneo  mengine kama ionekavyo pichani mapema leo asubuhi baada ya kunaswa na Globu ya Jamii ilipokuwa ikielekea mkoani Geita leo asubuhi.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjGy84ZJBVeLVIaSVf6RiY8bQyYgBtA-FzHRUoBjGHDJLwlTFAoww9cZkP4mDVsJDqIcdByIZc0okxOsaa21De-2ncG3XU9gmKD1YgjfAADHBlJoBW9p_O8piXuh6MzEWcFEhog8KHOePV8/s1600/5.jpgBaadhi ya abiria wakishuka kutoka kwenye kivuko cha Mv Sengerema mapema leo asubuhi wakielekea maeneo mbalimbali ikiwemo Geita,Sengerema na kwingineko.

PRESIDENT KIKWETE ATTENDS HIGH-LEVEL meeting on Scaling up Nutrition in New York

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjmSL2mDBl72wx_UJPc4oCUMCO58qLKSbdb4rvKQPQ4Ir5vK9Z-XWzd-zk2mEXBHSbGaDG1YbZc9PvHNbHCqB_kULvwzeT6lKffc7FGvWx3GhOj13QZX_IpuXraRUh2-NXMJ2wh1wzdZ8XL/s1600/0L7C0168.jpg
President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete speaks during a High-level meeting on Scaling up Nutrition  in New york this morning. To his left is Dr. Ngozi Okonjo-Iweala, Nigeria's Minister of Finance, and SUN Lead Group Member
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhhIBpBhOMZF7m0bPlOJpBCPVduh4FDmsNbJOweZJMl1bPMPGSTtND_JEcP8KFrcWjMp3GduPyIWxW7P58gqxYsdkMY9FD6HzYnH2N-F3uwVUG4DMCUpuNv18AF4y6L_6PgcgMEyLWDHaqc/s1600/0L7C0195.jpg
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete speaks during a meeting on Scaling up Nutrition held in New york this morning. To his left is Dr. Ngozi Okonjo-Iweala, Nigeria's Minister of Finance, and SUN Lead Group Member, behing hi with red tie is Tanzania's Minister for Health Dr Hussein Mwinyi, left is personal assistant to the President on Nutrition  Dr Wilbrad Lorri

Each year since 2010 there has been a High-Level Meeting and a series of other gatherings held in New York during the United Nations General Assembly, to increase political attention to the issue of nutrition and encourage greater support for the efforts of SUN countries and the Movement.

As a result of the dramatic increase in political attention to nutrition throughout 2013, SUN countries and stakeholder groups have sought to create space for more in-depth, structured interaction. The SUN Movement Global Gathering offers an opportunity for this form of interaction. Representatives from SUN countries and across the Movement will participate in the workshop-style event to solve practical bottlenecks and achieve concrete results.

The purpose of the 2013 SUN Movement Global Gathering is to enhance the Movement’s impact through:

*Demonstrating results in SUN countries – contributing to the learning agenda by focusing on how results can best be achieved;

*Enabling countries to seek solutions to help them scale up nutrition from other countries and networks;

*Bolstering mutual accountability within the Movement – with all constituents – countries, networks, Secretariat and members of the Lead Group giving accounts of their contributions; and

*Envisioning the Movement beyond 2015.

ZIARA YA DKT MWAKYEMBE NCHINI MAREKANI


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgIOaVCIJ270BG2e_31eQu5nOYk-3Ak-G6BqyLxGDrNevp_5pYtjeAfNuvVfWThJFd1r3ufB7IwMRIqhCldlw135-svwuuiYluCD5C_iyKAIv1c23NOObrHbV_oixG_WZtarG0_l2lV-Mjh/s1600/MWAKYEMBE+1.jpgMhe. Harrison Mwakyembe alipotembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Tanzania House, Washington DC. Katikati ni Mhe. Waziri Harrison Mwakyembe akiwa na ujumbe wake akiwa na baadhi ya maofisa wa Ubalozi huo Bw. Paul Mwafongo (wa tatu Kushoto) na Bw.Suleiman Saleh (wa tatu kulia).

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLhsuVP5lGDiyJmmaO7iBPD-a_wRHm3QGPGw8hRoYiYmpOWLGgGGfcoS3WlBHGnaxU4jpRHA_7ZXcvkbbvLD97snJKcKDNxDzdraedy3ItcrxwHOEy37v1zHZzHaFuTYdt2GhaQWQdgb-z/s1600/mwakyembe+6.jpgMhe. Harrison Mwakyembe(Mb.)Waziri wa Uchukuzi akipokewa na mwenyeji wake Bw.Robert Shumake,Balozi wa Heshima wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Michigan mara baada ya kuwasili hotelini alikofikia.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEixbqQAL8tFfUf7PR7HQgrk_RVY_NmTc1P-5WDXvYr8fM0YD6KazELfHO5YnJ310AgxKpsYvh3VIhlR32CL5kaORgjt58bWATLIO-jcnXmx00O3Cm3t7-K00JpxiHgsa-42f1Wbw2ZEfE6S/s1600/MWAKYEMBE+3.jpgMhe.Waziri Mwakyembe katika picha ya pamoja na Bw. Shumake na Bw. Suleiman Saleh,Afisa wa Ubalozi wa Tanzania ,Washington DC.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgHMFzcoCBr7_2UmadAOqygtzXcwTJpeczU6SC15Ige1rgzjeBIXMioq_qXHGPdC8GbUNaqSlL702udLXItEXl73-4ibCKI42CjykqKiIhFXubQ9e2q_-s4tVlCt6wlZxyER9_OukxfcNRK/s1600/MWAKYEMBE+4.jpg 

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis-FhcgbpFqBIFBOBHW0e-UXbTAy-OzVwSG3xG0HTSNBDq41gJtoQ2H-VX4B_YRHSVV7sViBcqVjQ-8mDwcwbWMsK6n9AxCM5wyu9md5ryx56japrGburonbJxnwB87GZXtQBfKhnO66CW/s1600/MWAKYEMBE+2.jpg
Mhe. Mwakyembe katika taswira mbali mbali na Bw. Joelson, Mmiliki wa kituo cha kufundisha Urubani cha DCT katika ziara yake kituoni hapo ambapo alionyeshwa ndege za aina mbali mbali pamoja na kupata historia ya kituo hicho.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhx4TDnJZZCyADBZ84hZImgFD6fNCIx7r-r7GUcVvJ4d4_EYzRKL7kPcJH89vcsTwSqmB3FfV6aFOXF9J0ZvRwZk0fs4mtY995ZQWO-eAUEvd0hqYSNPQInG2-d5ktANQzGyshzjBRJP4SW/s1600/MWAKYEMBE+5.jpgMhe. Harrison Mwakyembe (katikati) na Ujumbe wake Bw. Peter Lupatu , Mkurugenzi wa Huduma za Usafiri,Wizara ya Uchukuzi, Bw.Suleiman Saleh Afisa wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC, Eng.K . Kisamfu, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli la Tanzania, Bw. Mohamed Millanga, Mkurugenzi wa Mradi (Terminal 3 Building), na Bw. Andrew Magombana katika picha ya pamoja na viongozi wa Kampuni ya General Electric ya Erie, Pennsylvania.

Na Mwandishi wetu, Washington, DC

Mheshimiwa Dk.Harrison Mwakyembe(Mb.),Waziri wa Uchukuzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara ya kikazi nchini Marekani katika miji ya Washington DC, Erie, Pennsylvania na Detroit, Michigan, kuanzia tarehe 18 -22 Septemba, 2013, kwa mwaliko wa Bw. Robert Shumake, Balozi wa Heshima wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika jimbo la Michigan.

Wakati wa ziara hiyo, Mhe.Mwakyembe ambaye alifuatana na Bw. Lupatu, Mkurugenzi wa Huduma za Usafirishaji katika Wizara ya Uchukuzi, Eng. K. Kisamfu, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli la Tanzania, Bw. Mohamed Millanga,Mkurugenzi wa Mradi, Terminal Building 3, na Bw. Andrew Magombana, Msaidizi wa Waziri . Mhe.Mwakyembe alipata fursa ya kutembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliopo Washington DC na kisha kusafiri hadi Erie,Pennsylvania, kufanya mazungumzo na uongozi wa Juu wa kampuni ya General Electric inayotengeneza injini za treni.

Katika mkutano wake huo Mhe.Mwakyembe na ujumbe wake ulipata fursa ya kuelezwa shughuli mbali mbali za kampuni hiyo pamoja na kutembelea karakana kuu ya kampuni hiyo yenye watumishi zaidi ya laki tatu. Akiwa mjini Erie, Mhe.Mwakyembe alipata fursa ya kueleza mikakati iliyopo ya kuliboresha Shirika la Reli la Tanzania pamoja na kujenga mashirikiano zaidi baina ya kampuni na Serikali ya Tanzania katika kukamilisha azma hiyo.

Baadae Mhe. Mwakyembe na ujumbe wake ulisafiri hadi katika mji wa Detroit,Michigan, ambapo alipokelewa na alifanya mazungumzo na Bw.Shumake,Balozi wa Heshima wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye makazi yake katika mji wa Detroit.

Akiwa mjini humo Mhe. Mwakyembe alitembelea kituo cha mafunzo ya Urubani ambapo alielezwa historia ya kituo hicho pamoja namna ambayo kituo hicho kitasadia katika kuanzisha kituo cha Mafunzo ya Urubani nchini Tanzania.

Aidha Mhe.Mwakyembe alipata wasaa wa kuonyeshwa aina ya ndege mbali zinazotumika katika mafunzo hayo. Kituo hicho kimetoa mafunzo mafunzo kwa marubani 3500 tangu kianzishwe miaka kumi na nane iliyopita.


 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger