Home »
Technology
» Kivuko cha Mv Misungwi na Mv Sengerema Mkombozi wa usafiri wa majini Ziwa Victoria
Kivuko cha Mv Misungwi na Mv Sengerema Mkombozi wa usafiri wa majini Ziwa Victoria
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Tuesday, September 24, 2013 | 2:43 PM
Baadhi ya abiria kutoka maeneo mbalimbali wakiwahi usafiri wa kivuko cha Mv Sengerema eneo la Rugongo,tayari kuelekea sehemu mbalimbali kufanya shughuli zao za ujenzi wa Taifa,kama walivyonaswa na Camera ya Glob ya Jamii ilipokuwa ikielekea Mkoani Geita.Kila abiria analipa nauli ya shilingi 400 na magari kuanzia 9000/=
Kivuko cha Mv Sengerema kikiendelea kupakia abiria na mizigo kwenye eneo la Rugongo.
Kivuko cha Mv Misungwi kikipishana na kivuko cha Mv Sengerema (hakipo pichani) ndani ya ziwa Victoria,
Sehemu ya kumpumzikia abiria eneo la Busisi kwa upande wa kuelekea Mkoani Geita na maeneo mengine kama ionekavyo pichani mapema leo asubuhi baada ya kunaswa na Globu ya Jamii ilipokuwa ikielekea mkoani Geita leo asubuhi.
Baadhi ya abiria wakishuka kutoka kwenye kivuko cha Mv Sengerema mapema leo asubuhi wakielekea maeneo mbalimbali ikiwemo Geita,Sengerema na kwingineko.
Labels:
Technology
0 comments:
Post a Comment