BUNGE LA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA 10 WA SADCOPAC - Sema Naye
Headlines News :
Home » » BUNGE LA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA 10 WA SADCOPAC

BUNGE LA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA 10 WA SADCOPAC

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, August 31, 2013 | 9:08 PM

BUNGE LA TANZANIA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO WA 10 WA SADCOPAC KUANZIA SEPT. 2 HADI 7, 2013, JIJINI ARUSHA


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoSyGPv8PpwjUqMu6HGPwV3Vqn6i5SnoniQ3MsiQd-5BzmqS0jxkSw_RE4Tt2uRtp_Vvh3S-CKAy875H_fIDt2pYGml7Rqs_OZk2zn6GurVO3gdUSxS3T-5VfUIQtQP_QiKvypB6DedBcq/s1600/1.JPG
Mwenyekiti wa umoja wa kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka nchi za SADC (SADCOPAC) Mhe. Sipho Makama akiwaeleza waandishi wa Habari kuhusu kufanyika kwa Mkutano huo hapa nchini kuanzia tarehe 2 hadi 7 Septemba, 2013, jijini Arusha.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJPHXp3-dGdQ98I0iPXFYc-VctHHUhC7rzaa-Ee_orYtzAuukde0AtC-5LRbYH8OoPPCWPwAtyrhxqNBBHzFQHDz3Nc09VhP9mXZzZR2vflPeg-VmSmV7qDIbvYGjURiCCBBdmbFveIrWs/s1600/3.JPG
Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ambaye pia ndiye mwenyeji wa Mkutano wa mwaka wa umoja wa kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADCOPAC) Mhe. Zitto Kabwe akifafanua jambio kuhusu mkutano wa SADCOPAC utakafanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 2 hadi 7 Septemba, 2013.

Bunge la Tanzania kupitia kamati yake ya PAC litakuwa mwenyeji wa Mkutano wa 10 wa Umoja wa kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara (SADCOPAC) utakaofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 2 hadi 7 Septemba, 2013.



Picha na Owen Mwandumbya wa Bunge
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger