Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA),mama Salma Kikwete (kulia) akizungumza na washiriki wa warsha ya utoaji Haki juu ya kutokomeza matumizi mabaya ya madaraka yanayoambatana na rushwa ya ngono mara baada ya kukabidhiwa kitabu cha mwongozo wa namna ya kushughulikia mashauri mbalimbali ya kisheria alichokabidhiwa na Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania Mh. Jaji Engera Kileo , Jijini Dar es salaam - August 31,2013.
Home »
Label 1
,
Label 8
» WADAU WA UTOAJI HAKI WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE NCHINI WAKUTANA KUJADILI UTOKOMEZAJI WA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA YANAYOAMBATANA NA RUSHWA YA NGONO - August 31,2013
WADAU WA UTOAJI HAKI WA CHAMA CHA MAJAJI WANAWAKE NCHINI WAKUTANA KUJADILI UTOKOMEZAJI WA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA YANAYOAMBATANA NA RUSHWA YA NGONO - August 31,2013
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, August 31, 2013 | 9:01 PM
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo nchini (WAMA),mama Salma Kikwete (kulia) akizungumza na washiriki wa warsha ya utoaji Haki juu ya kutokomeza matumizi mabaya ya madaraka yanayoambatana na rushwa ya ngono mara baada ya kukabidhiwa kitabu cha mwongozo wa namna ya kushughulikia mashauri mbalimbali ya kisheria alichokabidhiwa na Rais wa Chama cha Majaji Wanawake Tanzania Mh. Jaji Engera Kileo , Jijini Dar es salaam - August 31,2013.
Related articles
- WAZIRI MKUU PINDA AFUNGA MAADHIMISHO YA SIKU YA MARA
- Government to look into Mugumu airport construction delays - Pinda
- Balozi Seif Ali iddi ahimiza kuwepo kwa vikao vya chama kila mara kuepusha migongano
- Mkapa Afungua Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili Haki na Amani Kwenye Masuala ya Ardhi
- Waziri Mkuu Pinda afanya ufunguzi wa maonysho ya bidhaa zinazozalishwa nchini China jijini Dar
- Makamu wa Rais afungua maonyesho ya nyaraka za kitaifa na kumbukumbu za Oman jijini Dar
0 comments:
Post a Comment