Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la Kikundi cha Vijana cha Igogo Wilayani Igunga akiwa katika ziara ya siku tatu Mkoani Tabora Agosti 31, 2013. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Utamaduni na Michezo, Ole Gabriel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA MIRADI YA KILIMO YA VIKUNDI VYA VIJANA IGUNGA
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, August 31, 2013 | 9:11 PM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la Kikundi cha Vijana cha Igogo Wilayani Igunga akiwa katika ziara ya siku tatu Mkoani Tabora Agosti 31, 2013. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Utamaduni na Michezo, Ole Gabriel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Related articles
- Government to look into Mugumu airport construction delays - Pinda
- Balozi Seif Ali iddi ahimiza kuwepo kwa vikao vya chama kila mara kuepusha migongano
- Mkapa Afungua Mkutano wa Kimataifa wa Kujadili Haki na Amani Kwenye Masuala ya Ardhi
- Waziri Mkuu Pinda afanya ufunguzi wa maonysho ya bidhaa zinazozalishwa nchini China jijini Dar
- Makamu wa Rais afungua maonyesho ya nyaraka za kitaifa na kumbukumbu za Oman jijini Dar
- MKUTANO WA SITA WA VYAMA VILIVYOKUWA VYA UKOMBOZI KUZINI MWA AFRIKA WAFANYIKA DAR
0 comments:
Post a Comment