Waziri awagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula na TRL kushirikiana - Sema Naye
Headlines News :
Home » » Waziri awagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula na TRL kushirikiana

Waziri awagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula na TRL kushirikiana

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 19, 2013 | 6:50 AM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPhIN1hG_iaHvZ2aTPPMIHiRNv6RbaVFj0kz7_ABFNyOYn78KlQWEHhYiVKbORfOal-IFEg7EvuFNGfx1LRp98IXY7jZJ1LC0gFveu8spzYPxQAaxdOcTg8fKme04OdO_B8Q2P0SRdmmYi/s1600/DSC_0062.JPG
Waziri wa Nchi Ofisi ya WaziriMkuu Sera, Uratibu na Bunge, Mhe. William V. Lukuvi (MB)akipokea maelezo kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kituo cha Mpanda Bw. Nahoda Khatib (wakatikati)wakati wa Ziara yake kikazi katika Mkoa wa Katavi iliyoanza jana tarehe 16 Septemba,2013. Kushoto (mwenyetai) ni Bw. C. Sadda Meneja Usafirishaji Kanda ya Tabora.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQPemHfMjfAI5A0jOEABW2GtTCeJ09WxTR00DjAwDJ82eGgOfyMm8bMuY9HiT1Ly24xy4Qdu1tWYHUU-YFVFmIY4eqc-NpMitqszElDAPBkEYTyFjuDyK89u2rKvZFWdicwQFlCrpMJiK_/s1600/20130917_134834.jpgWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Mhe. William V. Lukuvi (MB) akikagua Soko la Kimatifa la Mahindi la Isunta katika Wilaya ya Nkasi akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea sehemu za Ununuzi na Uhifadhi Mahindi nchini.

Katika ziara hiyo Waziri Lukuvi amewaagiza Wakala wa Hifadhi ya Chakula NFRA pamoja na TRL kushirikiana kwa pamoja ili kuweza kuanza kusafirisha Mahindi mapema kuelekea Shinyaga kabla ya kuanza kwa mvua ili kuweza kupunguza gharama za usafirishaji katika kipindi hicho, alisema hayo tarehe 17 Septemba, 2013.
Habari Picha na Afisa Habari Ofisi ya Waziri Mkuu
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger