RAIS MSTAAFU,MH. MKAPA ATEMBELEWA NYUMBANI KWAKE NA WAGENI MBALIMBALI
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 19, 2013 | 6:55 AM
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa (alienyanyua mkono mbele) akiongea na wageni wake nyumbani kwake jijini Dar es Salaam walipokwenda kumtembelea.. (Pichani mbele mwenye Kaunda suti ya cream) ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Balozi Mohammed Omari Maundi.
Rais Mstaafu,Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), alipokuwa akizungumza jambo jijini Dar es Salam walipokwenda kumtembelea.(pichani katikati) Ni Mkuu wa chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi.
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akiagana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), mara baada ya ,azumgumzo nae jijini Dar es Salam walipokwenda kumtembelea.
Picha ya pamoja kati ya Rais Mstaafu pamoja na wageni waliokwenda kumtembelea nyumbani kwake jana.Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
0 comments:
Post a Comment