Katibu Mkuu wa CCM aapishwa Uchifu Machibola
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Tuesday, September 17, 2013 | 12:16 PM
Kinana asimikwa kuwa Chifu Machibola katika kijiji cha migato katta ya Migato Wilaya ya Itilima,Katibu Mkuu leo yupo wilaya ya Itilima kukagua na kuimarisha uhai wa Chama na kusimamia Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Katibu Mkuu akinywa maji kwa kwa Upeyu .
Katibu mkuu akila chakula cha kimila cha kisukuma kinafahamika kama Michembe.Picha na Adam Mzee
0 comments:
Post a Comment