MHE. UMMY MWALIMU AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI KISARAWE - Sema Naye
Headlines News :
Home » » MHE. UMMY MWALIMU AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI KISARAWE

MHE. UMMY MWALIMU AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYANI KISARAWE

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 19, 2013 | 7:00 AM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbGhY3UouXuoUSlWIOgQe_GAeZ2gzdkgHbcb9pLZuAnUp43uiL8iACqgApS4yeRl8S9SYYQupjf9YvsPQW9cWeZXM6olNfRZ2al4-DgW4FiFyFUps3v4n01mS4pP44gAnF02vtbqEG5bII/s1600/Mhe.Ummy+Mwalimu+akipata+maelezo+ya+namna+vyakula+mbalimbali+vinavyosindikwa+kutoka+kwa+Mwenyekiti+wa+Kikundi+cha+Upendo+Development+Bibi.Lydia+Jacob+alipokitembelea+kikundi+hicho.jpgNaibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu akipata maelezo ya namna vyakula mbalimbali vinavyosindikwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Upendo Development Bibi.Lydia Jacob alipokitembelea kikundi hicho.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFZW-B9l9Y2RSl07_cDUJoNepUHdEH544ps5quiX0YAi3eTk1ZOLbZJFwqk3IOej6XOnHBmG9j7gC5Es73SNKkBqC2vxyyeNPhNzZVSDB31PrLlTHE5h88kzXiUIk-Waxie1w79n8_rind/s1600/Mhe.Ummy+Mwalimu+akipokelewa+na+Kikundi+cha+Vicoba+cha+Kinana+cha+Tupendane+alipowatembelea+kuona+namna+kikundi+hicho+kinavyoshiriki+katika+shughuli+za+kujiinua+Kiuchumi..jpgNaibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu akipokelewa na Kikundi cha Vicoba cha Kinana cha Tupendane alipowatembelea kuona namna kikundi hicho kinavyoshiriki katika shughuli za kujiinua Kiuchumi.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi567saKNedyFHF1bZ9ACuNUY30-mrXIb0dhmfvm5uzZwAUxmE79Fxa2k40Eyji6CXRhecdKgr3QzVURwApUWLVMNTe6afuC1eDt0aNmbxbGFQDAZeBoGhkJFyUewH4X076_CS_gQIhBi9U/s1600/Naibu+Waziri+Maendeleo+ya+Jamii,Mhe.Ummy+Mwalimu+akisalimiana+na+Wanafunzi+wanaosoma+Chuo+cha+Maendeleo+ya+Wananchi+Kisarawe+alipowatembelea+Chuoni+hapo,Kulia+ni+Mkuu+wa+Chuo+hicho+Bw.+Isaya+Mwambogela.jpgNaibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Mhe.Ummy Mwalimu akisalimiana na Wanafunzi wanaosoma Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Kisarawe alipowatembelea Chuoni hapo,Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Bw. Isaya Mwambogela.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfJISOy6zmHXyluId9cbsCFbSIEafKGkSSH6_3JHK6St-zGFwWT4I9TLQ8mPKxIeCzhq6jQ3OaBZL8xLucnvGzxICr7TEAKLL4agB3ovlXf-2-8oHktNw85MQu4x2mIXHE0PVI-QichGb4/s1600/Katika+Picha+ni+Pamoja+na+Mhe.Ummy+Mwalimu+Naibu+Waziri,MKuu+wa+Wilaya+ya+Kisarawe+Mhe.+Fatma+Kimario+na+Kamati+ya+Ulinzi+na+Usalama+wa+Mtoto+Wilayani+hapo.jpgNaibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu Naibu Waziri,MKuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Fatma Kimario na Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mtoto Wilayani hapo wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger