Rais Dkt Jakaya Kikwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.
RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI WASHINGTON, DC - September 19, 2013
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 19, 2013 | 12:23 PM
Rais Dkt Jakaya Kikwete akiingia Ritz Calton Hotel wakati alipowasili Washington, DC kwa kuendelea na ziara yake ya nchini Marekani aliyoanzia kwenye miji ya San Francisco na Vallejo, California.
0 comments:
Post a Comment