WAJUMBE BARAZA KUU UVCCM WATUA ZANZIBAR
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, August 31, 2013 | 9:17 PM
Bandari ya Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoa Tanzania Bara wakitoka bandarini baada ya kuwasili mjini Zanzibar kwa ajili ya kikao cha Baraza hilo kitakachofanyika Septemba 01,2013, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui.
Baadhi yao wakisubiriana kabla ya kupanda mabasi maalum yaliyoletwa bandarini kuwabeba.
Wajumbe wakiwa katika mabasi.
Wajumbe wakiwasili Afisi Kuu ya UVCCM Zanzibar.
Kikundi cga Bras Band cha UVCCM Zanzibar kikijifua kwa mazoezi kwa ajili ya mkutano wa leo September 01, 2013.Imetayarishwa na theNkoromo Blog
0 comments:
Post a Comment