WAZIRI MKUU PINDA AKAGUA MIRADI YA KILIMO YA VIKUNDI VYA VIJANA IGUNGA
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, August 31, 2013 | 9:11 PM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua shamba la Kikundi cha Vijana cha Igogo Wilayani Igunga akiwa katika ziara ya siku tatu Mkoani Tabora Agosti 31, 2013. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Vijana Utamaduni na Michezo, Ole Gabriel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment