Home »
Label 5
» UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MAGUFULI
UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MAGUFULI
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, October 10, 2013 | 2:11 PM
Magari yakirekebisha uzito wa mizigo baada ya kupimwa katika Kituo cha Mizani cha Mikese Mkoani Morogoro Magari yakiendelea kupimwa katika Kituo cha Mizani cha Kibaha mkoani Pwani Gari likiondoka baada ya kupimwa katika mzani wa barabarani likiwa limezingatia ya uzito uliowekwa kisheria. Upimaji ukiendelea Kibaha Barabara ikiwa imebonyea kutokana na uharibifu unaotokana na magari yaliyozidisha uzito zaidi ya viwango vilivyowekwa kisheria..
0 comments:
Post a Comment