BAADHI YA WAJUMBE WA BARAZA LA KATIBA JIJI LA ARUSHA CHINI YA MWENYEKITI WA KUNDI LA 4 KATIKA BARAZA HILO Mhe. Paul Matthysen (aliyevaa miwani katikati)na kulia kabisa Mh.Lilyan Mmassy,wakiwa kwenye mchakato wa kutoa maoni kuhusu rasimu hiyo leo August 20,2013.
Pichani ni mjumbe wa baraza la Katiba Ndg Victor Mollel wakiendelea na mchakato wa kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Katiba kinachofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013
Kushoto - kulia ni Ndg Tinny Mwenda,Ndg Halima Masumai na Ndg Emanuelly Laizer wakitoa maoni yao kuhusu rasimu ya Katiba mpya kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Katiba Jijini Arusha kundi la nambari 3 Ndg Akida (Katibu wa kundi hilo) mwenye sweta wakiendelea kutoa maoni yao kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Katiba chini Mwenyekiti wa kundi nambari 2 Ndg Paul Lotha Laizer aliyeshika kalamu wakijadili jambo katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Katiba kundi nambari 1,pichani aliyevaa sweta jekundu Ndg Aggrey Mushi akiwasilisha maoni yake katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Picha ya Mjumbe wa Baraza la Katiba pichani ni Katibu wa kundi nambari 1 Ndg Sifa Swai (aliyevaa miwani) wakijadili jambo katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Katibu wa kundi nambari 4 Ndg Mary Kisaka aliyesimama akitoa ufafanuzi kwa Wajumbe wa Baraza hilo katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Wajumbe wa Baraza la Katiba wakipata chai wakati wa mapumziko katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Mjumbe wa Baraza la Katiba Wilaya ya Arusha Ndg Sekiyani akitoa maoni yake kuhusu Rasimu ya Katiba katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Wajumbe wa Baraza la Katiba chini Mwenyekiti wa kundi nambari 2 Ndg Paul Lotha Laizer aliyevaa miwani (kushoto) na kulia kabisa ni Ndg Katamboi wakijadili jambo katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Wajumbe wa Baraza la Katiba chini Mwenyekiti wa kundi nambari 1 Ndg Alute aliyeshika rasimu ya Katiba mpya wakijadili jambo katika kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
Baadhi ya Maofisa wa Tume ya Katiba wakiendelea na shughuli zao za kawaida katika kikao hicho kinachofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Rose ya Jijini Arusha leo August 20,2013.
1 comments:
All da best !
Post a Comment