MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUADHIMISHA SIKU YA MABUNGE DUNIANI KUHUSU SUALA LA MAKAZI, JIJINI ARUSHA - Agosti 19, 2013 - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUADHIMISHA SIKU YA MABUNGE DUNIANI KUHUSU SUALA LA MAKAZI, JIJINI ARUSHA - Agosti 19, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUADHIMISHA SIKU YA MABUNGE DUNIANI KUHUSU SUALA LA MAKAZI, JIJINI ARUSHA - Agosti 19, 2013

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Tuesday, August 20, 2013 | 12:31 PM


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSyqS8xnBY5J1IvCCMj763iY8YsKfcMLVLFjAMIn3Pyn1uE11cIyMfpDJjH3kQasr8enB18msTaEW1036nxtdxPsbLoZZm3nafkGUSWWaxhZ3gH4nIQlSX3h12yIoqoSNDLAFV-hNVIGue/s1600/03.jpg Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Maonyesho ya Kongamano la Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la Makazi. Kongamano hilo limefunguliwa - Agosti 19, 2013 jijini Arusha. Kulia ni Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQkdRuhMgLBExarYD5Saice4k9mN6K8KYRX2Uc5ofkK6j82ZoXHJNYW3xDPn-PxK8wN3jbJ42t_Uxs5nuHSScLOtyj0VZwCWJJWeK7D-9QVnH7gWrwb0LDTFmkZzv-jUy7rVtdzd3zqeTH/s1600/1.jpg Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la Makazi. Kongamano hilo limefunguliwa - Agosti 19, 2013 jijini Arusha.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlQhUCeohKOAVXdp7DnTZGh7OorcXZvuT5evzMEUpK2ocV9PHHlyATqn4bERxq_pqaYiuF2F-L4tSopudu6zR5bOigZlLI5SWa27MW7wZz95R71ONHdMsmiV8rq7GYNdFuREFVNHpOM034/s1600/02.jpg Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki, baada ya kufungua rasmi Kongamano la Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la Makazi, lililofunguliwa - Agosti 19, 2013 jijini Arusha.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhzXNrSaBJP67Otmzq6gc32TAKJBhp-5goTwt3ArOeJqLBeG3TvbjCMJsnV3Pk7QR_hJzsNZ4HZ-NmcERx9Hq_D7YKW8XUnTUoopbL8HTZgU5Nb3sTQeXVRryBtLmziP7aczhdbeD4U-yBt/s1600/3.jpg 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjPRK-ZaQQidx9MmWhSVdOGLnN0iekcXy4e1pjMQZAy_YIiv-1DlvUYOtGWF9jmuzOPdWB0mfY5Ed75EAd-7vdVJk7bVSF-Sd3nW8e2P5Xis2UB1j8YAh47vfsMu_bL67N21QAn3Vz_NE3L/s1600/4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj6yhGHNZpMWBZ-UQDwzI5QbiEHE_cAdVNY3tYbeINIYepCuPbL0FsPs4vrZNebrqkt3D2Um621fGIwTyRHCefJQlOe63jovpwDSuiRKTj6q-11hb0MpqTc1jk1bhV244fpN19AeLVtnV9E/s1600/2.jpg
Baadhi ya wabunge na wageni waliohudhuria ufunguzi wa Kongamano hilo leo, jijini Arusha.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPtRccFdkFZw0-Dh3-DIpltl8PTZag_31wybNpHc-8jrgnanV2sHLfcddDGTdF-yYSJgB_NRkNlDjZH3R87R24ruCW8mUo4_D_i9tJ_VAwoU_XGX52F1kAknE-5b031M3MPCLYnvGpQh_i/s1600/05.jpg Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Masoko wa Kampuni ya Tree Ltd ya Arusha, Magdalena Ayo, kuhusu utengenezaji wa Majiko Bomba, wakati Makamu alipokuwa akitembelea katika mabanda ya maonyesho ya Kongamano la Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la Makazi, lililofunguliwa - Agosti 19, 2013 jijini Arusha.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhHKlXfj6J8CylGH-ryrkxBGTWW41KBode3sj_gLgrWJVSbgy18o-kF5nkCcktfrOl8R7B2AFv2QaUPBlFKRv7mtnRSQ9axHoUCoBuyTtF6m32jdUhTlW1UagXEskiOnKWxbpTLWHKubtdb/s1600/06.jpgMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki, wakati akiondoka baada ya kufungua rasmi Kongamano la Jumuiya ya Afrika Mashariki katika kuadhimisha Siku ya Mabunge Duniani, kuhusu suala la Makazi,  Agosti 19, 2013 jijini Arusha.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis-kXM3VYORiK0XaisMDZzx0mft2h1BN5jheDOEUcWCgz3hmvUNU0pOna0u_eHyYMYZWoRYR3fLu7pQaD3SRwW-yTmCduT7jaAD4iSqfS7geMA37HjvNjXyoBQZMIK9qXiaaI14CU2bDdk/s1600/5.jpgPicha  ya pamoja
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger