Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira akikagua majengo ya shule ya sekondari ya Chienjere alipokuwa akikagua miradi ya Tasaf kwa mkoa wa Mtwara na Lindi.Jengo la Utawala la Shule ya Sekondari ya Kata ya Chienjere wilayani Ruangwa lililojengwa kupitia mfuko wa TASAF
Jengo la kiwanda kidogo cha Akina mama wa kata ya Mbekenyera waliojiunganisha pamoja katika kikundi cha Azimio na kuanza kubangua korosho kwa mashine za mikono.
Wanakikundi wa Azimio-Mbekenyera walipotembelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira katika Jengo ambalo wamepata kupitia mfuko wa Tasaf.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira akihutubia wananchi wa Mbekenyera
Home »
Label 5
» Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira ziarani Mtwara na Lindi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe.Stephen Wasira ziarani Mtwara na Lindi
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 19, 2013 | 12:53 PM
Labels:
Label 5
0 comments:
Post a Comment