RAIS SHEIN WA ZANZIBAR AZINDUA MADRASA HIDAYA-TUL ISLAMIYA KIDOTI - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » RAIS SHEIN WA ZANZIBAR AZINDUA MADRASA HIDAYA-TUL ISLAMIYA KIDOTI

RAIS SHEIN WA ZANZIBAR AZINDUA MADRASA HIDAYA-TUL ISLAMIYA KIDOTI

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, September 21, 2013 | 2:41 PM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg0UX99hSV0j6chl8A5wP9nWTPBXqw-KgBeig4fcAVdphzZDMkEQn8uKI6d0JwHTykpH9DqRACgGKA90OF8Sz9ImJhw0Lwr9qqB6LoVsR-D6PFYVm8diUEu0iT3EpwVERUOk58vUewGfvGw/s1600/IMG_2048.jpg
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuzindua Madrasa Hidayatul Islamia katika Kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,(kulia) Mkuu
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJcQGfmMCoOJjgaWqSDzB9Yfax6vzuRzMbdW2VlyPoVc8BltceVx9rAjk0-wlew9y0jsGczgrVQv8HLMS9-UBBXMuYFCgOzbILD46n_-jBf_plXM9wSIcJAzKl8AOGxed0mfT8gsYl8jmQ/s1600/IMG_2058.jpgRais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mkuu wa Ujenzi wa Madrasa Hidayatul Islamia,Salim Yussuf Mohamed,(kushoto) na Mwalimu Mkuu wa madrasa hiyo Makame Ali Juma,(kulia) pamoja na Viongozi wengine wakati walipotembelea sehemu mbali mbali za madrasa hiyo baada ya kuifungua Rasmi leo huko katika Kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wa madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,Mkoa wa Kaskazini iliyojengwa kwa ufadhili wa wahisani mbali mbali na Nguvu za Wananchi wenyewe.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhix9RDc6r-qOiGt5YvmLVAKH9Q1IwcCFN-3TOyF4AfGOrjR0DEHkSB16vD6l8T5oHsysgL5c1BEl63uH-wS54Fs5-jIx6Jz-qNSUjuBJ4PsutmGEHwpDcQRHac_ISOKpeUBlY3quJYzwl9/s1600/IMG_2099.jpg
Viongozi waliohudhuria katika ufunguzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,(kutoka kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Juma Haji  Juma,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcGb_3fBS2wvuB9RvyY9hxh3Yqvluyrxt85SV3YkvdTfJrwKqzz_Bm_R5UPOXni5PaGOlZgzfcghZVl_H8byvHMyOneZR9fzmdeIA_6BdgbvISq_SlirVF-5SmCnDJCqOCy8lNsR8zG_Zx/s1600/IMG_2100.jpgMke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi,na Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban,nwakiwa katika
hafla ya ufunguzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini hapo.


Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kidoti waliohudhuria katika hafla ya ufunfuzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini hapo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua madrasa hiyo.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgP8zuXKv6DjqE9SeZutq5ExWLHmyMfEUA7GnfyyWeuSpkujXFPmQ9jEfmqpXd81Knp8K1vZgLsYi6cJpWR-29bXx3EnFpjOY2uLSPstK-Wb_LFxfv56p5oCco5-ydfMioTwj6kYk6RpcbR/s1600/IMG_2121.jpgWanafunzi wa Madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti Wilaya ya Kaskazini A,Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakiwa katika sherehe za Ufunguzi wa Madrasa yao iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua rasmi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger