RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WAKAZI WA DC.
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Friday, September 20, 2013 | 1:24 PM
Rais Kikwete akiwa na Katibu wa CCM-DMV Bw.Kinyemi
Rais Kikwete akiwa na mwenyekiti wa CCM DMV George Sebo.
Rais Kikwete akiwa na Dr.Mwamoyo Hamza Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya VOA
.
Rais Kikwete na mchungaji Kadjolo.
Rais Kikwete na Bi.Hamisa (Miss Temeke )
Rais wa Tanzania Dr.Jakaya Kikwete alipokutana na mpiganaji SundayShomari wa VOA siku ya Jumatano kwenye ofisi za ubalozi washington Dc.
Rais Kikwete akiwa na Mawinny Casey.
Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania Mh. Bernard Membe akitoa hotuba ya kuwapongeza mabalozi wa hiyari wa Tanzania.
0 comments:
Post a Comment