Mhe Ndugai na Balozi Kamala waongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Nchi za Afrika,Caribbean,Pacific na Jumuiya ya Ulaya - Sema Naye
Headlines News :
Home » » Mhe Ndugai na Balozi Kamala waongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Nchi za Afrika,Caribbean,Pacific na Jumuiya ya Ulaya

Mhe Ndugai na Balozi Kamala waongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Nchi za Afrika,Caribbean,Pacific na Jumuiya ya Ulaya

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Friday, September 20, 2013 | 8:57 PM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiny0BErvRGioQANar62LV88QXiGFqKXozC-qzjsaVeFeBMUD7XZBvKScYob5T63qnra4_grZzy4WB73R040Fno5U8b1gkLA8C31Vt4um9sU6flYU0wY8dOr2UmLIooppWsV5ERRUUGC_64/s1600/2013919181246.jpg
Mhe Job Ndugai,Naibu Spika wa Bunge akiongoza kikao cha pamoja baina ya Wabunge wa Nchi za Afrika,Caribbean na Pacific na Wabunge wa Jumuiya ya Ulaya kujadili masuala ya kijamii na mazingira.Mhe Ndugai ni Mwenyekiti Mwenza(Co Chair) ambapo mwenzake in Bi.Michelle Rivalsi (pili kushoto).Mkutano huo ulifanyika katika Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya jijini Brussels.https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhkPav4n53Nx5NKN56VmzcAKyrQ-KSawX1DbXmyBeMhaaWSRZI_nk3GSq_21oB7v-ZQ64vnrzQwykX9rNm0EvMDepF4OB9tKDURKBcLlNXVSHxSmkvpoWcpFeRGcszhOPtXYDjcXzK8VO3/s1600/2013919181129+(1).jpg
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Mhe.Deodorus Kamala (watatu kushoto)akishiriki mkutano huo pamoja na ujumbe wa Tanzania unaowajumuisha Mhe.Mussa Zungu (wa pili kushoto),Mhe.Dr Mary Mwanjelwa (kushoto) na Bw.Aggrey Nzowa ambae ni Katibu wa Msafara huo na pia Mkurugenzi Msaidizi (Huduma za Maktaba) katika Ofisi ya Bunge. Picha na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger