LOWASSA AFUNGUA JENGO LA MADARASA YA SHULE YA AWALI YA KANISA LA AICT MJINI KAHAMA LEO,ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 200 ZA UJENZI - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » LOWASSA AFUNGUA JENGO LA MADARASA YA SHULE YA AWALI YA KANISA LA AICT MJINI KAHAMA LEO,ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 200 ZA UJENZI

LOWASSA AFUNGUA JENGO LA MADARASA YA SHULE YA AWALI YA KANISA LA AICT MJINI KAHAMA LEO,ACHANGISHA ZAIDI YA MILIONI 200 ZA UJENZI

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Sunday, September 15, 2013 | 11:57 AM


Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akikata utepe na kufungua pazia katika jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya Ufunguzi rasmi wa Jengo la Madarasa ya Shule ya awali ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo baadae aliendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa hilo ambapo zaidi ya shilingi Milioni 212 zilipatikana zikiwemo na ahadi.
 

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo.
 
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono waumini wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini,wakati alipokuwa akiwasili kwenye kanisa hilo kwa ajili ya kuendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya Msingi wa ya Kanisa hilo.
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria kwenye hafla hiyo wakifuatilia jambo kwa makini.

Kwaya ya Kanisa la Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini ikitumbuiza Nyimbo mbali mbali kwa furaha.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea Michango Mbali Mbali kutoka 
kwa Marafiki zake.
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger