Home »
Label 1
» Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amtembelea Mzee Khalfan Tengeneza Mchaga katika Kijiji cha Msoga.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amtembelea Mzee Khalfan Tengeneza Mchaga katika Kijiji cha Msoga.
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Sunday, August 11, 2013 | 1:06 PM
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mzee Khalfan Tengeneza Mchaga, mmoja wa wazee katika Kijiji cha Msoga,kata ya Chalinze ,Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani leo wakati Rais alipomtembelea kumjulia hali.Rais Kikwete alikuwa katika mapumziko ya mwisho wa wiki kijijini Msoga. Picha na Freddy Maro.
Labels:
Label 1
0 comments:
Post a Comment