
Wanahabari, maafiosa wa Bunge na wasamaria wema wakiokoa majeruhi kutoka garini.

Mpiga picha wa mwananchi Edwin Mjwahuzi akipatiwa huduma ya kwanza.

Dereva wa gari hilo akiwa amepoteza fahamu.

Gari lilivyopinduka.

Afisa Habari wabunge Owen Mwandumbya akiwa amepumzishwa ili apate hewa kidogo baada ya ajali
0 comments:
Post a Comment