
Ujenzi wa Barabara ya Kutoka Manyoni,Itigi mpaka Tabora unaonekana kwenda kwa kasi nzuri kama inavyoonekana pichani.Barabara hiyo ina Urefu wa Kilometa 254 na iwapo itakamilika kama ilivyopangwa,itakuwa imerahisisha sana safari kwa watumiaji wa njia hiyo watakaokuwa wanakwenda Mkoani Tabora na maeneo mengine.





Sehemu ya Mkeka huo iliyokamilika,japo bado magari hayajaanza kuruhusiwa kutumia.
0 comments:
Post a Comment