
Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuzindua Madrasa Hidayatul Islamia katika Kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,(kulia) Mkuu
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Pembe Juma Pembe.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wa madrasa Hidayatul Islamia ya Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,Mkoa wa Kaskazini iliyojengwa kwa ufadhili wa wahisani mbali mbali na Nguvu za Wananchi wenyewe.

Viongozi waliohudhuria katika ufunguzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,(kutoka kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Juma Haji Juma,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji.

hafla ya ufunguzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini hapo.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Kidoti waliohudhuria katika hafla ya ufunfuzi wa Madrasa Hidayatul Islamia katika kijiji cha Kidoti Wilaya ya Kaskazini A Unguja,uliofanyika leo kijijini hapo,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua madrasa hiyo.

Mwenyekliti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao baada ya kuifungua rasmi.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment