Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene (katikati), Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto) wakishangilia wakati wa Maadhimisho ya 16 ya kila mwaka ya Siku ya Bima nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.
Maadhimisho ya 16 ya Siku ya Bima nchini yafana Dar es salaam
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Monday, September 16, 2013 | 11:46 AM
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene (katikati), Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto) wakishangilia wakati wa Maadhimisho ya 16 ya kila mwaka ya Siku ya Bima nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.
Related articles
- UTEKELEZAJI WA AGIZO LA WAZIRI MAGUFULI
- Mkutano wa 34 wa SADC-PF kufanyika Tanzania
- WATANZANIA WAISHIO KENYA WAITIKIA WITO WA KUJITOLEA DAMU KWA AJILI YA WAATHIRIKA WA TUKIO LA UGAIDI, NAIROBI KENYA
- ZIARA YA DKT MWAKYEMBE NCHINI MAREKANI
- WAZIRI MEMBE AKUTANA NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA
- MKUU WA MKOA WA RUKWA AFUNGUA KAMBI YA VIJANA WA CCM HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA
Labels:
Label 5
0 comments:
Post a Comment