Taswira za Dk Shein alipokutana na waTanzania waishio Holland - August 30, 2013
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr.Ali Mohamed Shein akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Holland..Rais Shein yupo nchini Holland kwa ziara ya kikazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr.Ali Mohamed Shein akitoa ufafanuzi wa maswali yote aliyokuwa akiulizwa na baadhi ya Watanzania kuhusu mustakabari wa Kisiwani Zanzibar
Pichani ni mahudhurio ya watanzania waliojitokeza kuzungumza na Mh:Rais Ali Mohamed Shein hapo jana katika ukumbi wa hotel ya Hilton Kati ya Watanzania waliouliza maswali ndugu Omary Abbas alikuwa mmoja wapo..pichani akiuliza moja kati ya maswali yake hapo - August 30, 2013.
Baadhi ya Watanzania wakiwa makini kabisa kusikiliza nini Rais anazungumza.
Wake kwa waume walijitokeza kwa wingi katika mkutano huo na Mheshimiwa Rais
wakiwa makini kusikiliza .
Baraza la Mapinduzi hapo - August 30, 2013.
0 comments:
Post a Comment