Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu
maalum za Sikukuu ya Iddi baada ya Swala iliyofanyika Kitaifa Mkoani Tabora
katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi leo, Agosti 9, 2013. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti
Mkuu wa Tanzania, Shaaban Bin Simba, mara baada ya Swala ya Iddi iliyofanyika
Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo Agosti 9, 2013
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa sita kutoka
kulia), akishiriki na waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Sikukuu ya
Iddi, iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora
leo, Agosti 9, 2013.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na
waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Sikukuu ya Iddi iliyoswaliwa
Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora leo, Agosti 9, 2013.
Sehemu ya Waumini
wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya Sikukuu ya Iddi,
iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo,
Agosti 9, 2013. Picha na OMR
Sehemu ya Waumini
wa dini ya Kiislamu waliojitokeza kuhudhuria Swala ya Sikukuu ya Iddi,
iliyoswaliwa Kitaifa kwenye Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mkoani Tabora leo,
Agosti 9, 2013. Picha na OMR
3 comments:
iddi mubaraka ndg mwenezi mungu akupe kheri na uwendele kutupatia habari kila wakati natambua ni kazi kubwa sana ila mungu akupe moyo kwa kazi kubwa keeeeeeeeeeeeeeeeppppppppppp ittttttttttt exxxxxxxxxxcelent mwenezi
Amina !
amen
Post a Comment