Mwendesha bodaboda Jijini Arusha Saidi (aliyevaa koti la bluu) wa kituo cha maeneo ya CCM Mkoani Arusha,akimnusuru mtoto wa shule aliyekuwa anaendesha baiskeli (hayupo pichani) kutoka kwa dereva wa gari la mali ya MANJIS GAS ya Jijini Arusha baada ya kumpa kibano mtoto huyo.
Uchafu uliokusanywa ndani na kutupwa nnje ya eneo la biashara kama inavyoonekana hapo ni mabaki ya nwele kutoka kwenye saluni ya akina mama Jijini Arusha zikiwa zinazagaa.
Pamoja na kuwepo kwa kibao kinachokataza kuegesha magari katika eneo la wapita kwa miguu,bado baadhi ya madereva ni wamekuwa wakorofi. Kama inavyoonekana kwenye picha madereva hawa wamekuwa wanawapa wakati mgumu watembea kwa miguu.Hapa ni kwenye lango la kuingilia Hosipitali ya Aghakani ya Jijini Arusha Mtaa wa Benjamini.Wrong parking walisaidia sana kumaliza adha hii.
Kama inavyoonekana pichani hizi ni tataka zinazotupwa katika kingo za Mto Naura kando ya Maktaba ya Mkoa wa Arusha bara ya Sokoine.
Watumiaji wa vyombo vya moto Jijini Arusha wamekuwa hawajali maeneo ya wapita kwa miguu.Pichani kama ionekanavyo magari au pikipiki zikiwa zimeegeshwa barazani .
0 comments:
Post a Comment