UBABE WAMPONZA SUGU BUNGENI BAADA YA KUKAIDI KUTII KITI CHA SPIKA BUNGENI - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » UBABE WAMPONZA SUGU BUNGENI BAADA YA KUKAIDI KUTII KITI CHA SPIKA BUNGENI

UBABE WAMPONZA SUGU BUNGENI BAADA YA KUKAIDI KUTII KITI CHA SPIKA BUNGENI

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 5, 2013 | 7:11 PM

 Mbunge Sugu akijikuta Matatani na Polisi wa Bunge baada ya kukaidi amri ya Naibu spika  

 Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini 
 Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo

 Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akishangaa vituko vya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni 
 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania  Microphone Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo 


 Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania  Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo. hata hivyo   Microphone hiyo iling'oka  na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
  Microphone hiyo iling'oka  na polisi wakafanikiwa kumtoa nje

 Mbunge  wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa  na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo
 Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dodoma baada ya kuamriwa kufanya  hivyo na Naibu Spika wa  Bunge, Job Ndugai baada ya kuendelea kukaidi kutii Kiti cha Spika 

 Mbunge wa Mbeya Mjini  akitulizwa mzuka na wabunge  wa CHADEMA baada ya kutolewa na polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger