Timu ya vijana ya wasichana wa Airtel Rising Stars yakabidhiwa bendera
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Monday, September 16, 2013 | 10:37 PM
Katibu Mkuu wa Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania,Angetile Osia (kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa, kepteni wa timu ya vijana ya wasichana wa Artel Rising Stars,Stumai Abdallah timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
Labels:
Label 4
0 comments:
Post a Comment