MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI WATUA BUNGENI - DODOMA - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI WATUA BUNGENI - DODOMA

MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI WATUA BUNGENI - DODOMA

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 5, 2013 | 6:09 PM



Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda wa nne kushoto akiwa na bingwa wa dunia wa mchezo wa masumbwi nchini Fransic Cheka baada ya kukaribishwa bungeni mjini Dodoma. wengine kushoto Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  na bingwa wa mabara Fransic Miyeyusho, kulia ni promota wa mchezo wa masumbwi nchini Mohamed Bawaziri,  na promota wa mpambano wa ubingwa wa Dunia ambao cheka anao kwa sasa Catherini Matili .
MAJI MAREFU AKIWA NA MABINGWA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI
Mbunge Wa Same Mashariki, Anne Kilango  katikati akiwa  na bingwa wa unia wa wbf fransic Cheka kulia kwake na Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia na wadau wengine wa mchezo wa masumbwi nchini walipotembelea Bunge la Jamuhuri ya Muhungano wa Tanzani .
Baadhi ya wadau wa mchezo wa masumbwi nchini wakiongozwa na Mohamed Bawazir Katikati wakiwa katika picha ya pamoja kabla hawajaingia ndani ya bunge kusikiliza bunge la Tanzania, Super D Wa nne kulia nae akiungana nao pamoja
Bondia Francis Cheka akiwa na wabunge mbalimbali pamoja na Mwanasheria Mkuu wa 
Serekali alipotembelea bungeni.
Waziri wa Wizara ya Habari ,Vijana,utamauni na michezo, Dkt,Fenela Mukangala wa pili kushoto akiwa na Rais wa TPBO Yassini Abdala pamoja na mapromota Mohamedi Bawazir kulia na Catherini Matili .



Waziri Mkuu Mh,Mizengo Pinda katikati akiwa na mabondia Fransic Miyeyusho kushoto na Fransic Cheka wakati walipo tembelea bungeni Dodoma kwa ajili ya kutambua mchango wao na kuwapongeza
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger