Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene (katikati), Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto) wakishangilia wakati wa Maadhimisho ya 16 ya kila mwaka ya Siku ya Bima nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.
Maadhimisho ya 16 ya Siku ya Bima nchini yafana Dar es salaam
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Monday, September 16, 2013 | 11:46 AM
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Janet Mbene (katikati), Kamishna wa Bima, Bw. Israel Kamuzora (kulia) na Mwenyekiti wa Bodi ya Bima ambaye pia ni Katibu Mkuu Ikulu, Mhe. Peter Ilomo (kushoto) wakishangilia wakati wa Maadhimisho ya 16 ya kila mwaka ya Siku ya Bima nchini jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Benki ya NMB, pamoja na baadhi ya makampuni mengine yalidhamini maadhimisho hayo.
Labels:
Label 5
0 comments:
Post a Comment