KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Friday, September 13, 2013 | 12:44 PM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEho-8LikKVyL9xyiqorp0apdxNhhI6a_mFL76sVOJUlTMS8-bkjTWvpFBIeC77flTsrVBLbHczjIvs8JhxiQOqkywosdbYhQX3p6DCrexAC0MilYnwRALzL65mTEZ2dBhaG_FDevKDJ1g4r/s1600/gz2.jpg
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha gari maalum ya kuinulia mizigo huku akipata maelezo kutoka kwa Balozi wa China nchini Lu Youqinq alipotembelea kiwanda cha nguo cha Dahong Textile kinachojengwa mkoa wa Shinyanga.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg85BV5b4o7kZ7K-TWG-aVdBmFBbWycPQRw1FHuL1WT4sonxjd_xfCe_xv_GSu4av4Txqom9phgpCPmbf-G_DHbS1oFkOrtDk8eiymc_lU2kP-hZtfZc-8UhCP5xK-j7B5sdF-WFB3qraKL/s1600/gz1.jpgKatibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa China nchini Lu Youqinq kuhusu mipango ya China katika kuwekeza Tanzania.Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman leo ametembelea kiwanda cha nguo cha Dahong Textile kilichopo Shinyanga. 

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgcNXFM1cjGj3nDP4OFtH33ERWGWk9sa_lPve6m2G33c0_4De3Z8sh_hghXI48k_dtYljH-J95fE8kyAAoT6J3DqAJHkOzd0HOC8wZGyc2qEz3T0YumtqU5hxSfA6nmC9mXDkgY9snJKnAb/s1600/gz5.jpgBalozi wa China nchini Lu Youqinq akimkabidhi zawadi Laptop Katibu wa CCM wa Wilaya ya Shinyanga Charles Charles .

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGAazIVieXAl6ki93iy7138vFWE4ZaKVzYfI4tJ1yOdV6pqUBLdcvetYg0M7pMD_A85MHZ0zgu5kC5VxXNYsPE8cLiHi5lur0Ehbfu0rNoc461HgTQWakvUC_x-pVoNZT0W28A8HaRPnBQ/s1600/gz4.jpgKatibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa China nchini Lu Youqinq na wawekezaji baada ya kumaliza kukagua maendeleo ya viwanda hivyo ambavyo vitaajiri maelfu ya Watanzania mara vitakapokamilika..Picha na Adam Mzee
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger