Kesi ya Mfanya biashara wa madini aliyeuwawa Arusha yaanza - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » Kesi ya Mfanya biashara wa madini aliyeuwawa Arusha yaanza

Kesi ya Mfanya biashara wa madini aliyeuwawa Arusha yaanza

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 5, 2013 | 2:46 AM



Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya Mfanya biashara wa madini Erasto Msuya,Sharifu Mohamed na Musa Mangu wakiwa mahakamani.
Ndugu wa marehemu Erasto Msuya wakiwa mahakamani.

Ndugu wa marehemu Erasto Msuya wakiwa mahakamani.

Wakazi wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha walifurika mahakamani kusikiliza kesi hiyo.

Mtuhumiwa Sharifu Mohamed akiteta jambo na wakili wake Mhe. Hudson Ndusyepo mara baada ya kuhairishwa kwa kesi hiyo .

Dada wa marehemu Msuya aliyefahamika kwa jina la Antuja Msuya baada ya  kupoteza fahamu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi.

Dada wa marehemu Msuya aliyefahamika kwa jina la Antuja Msuya baada ya kupoteza fahamu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi.

Dada wa marehemu Msuya aliyefahamika kwa jina la Antuja Msuya akiangua kilio na baadae kupoteza fahamu mara baada ya kuahirishwa kwa kesi.

 
 

Mdogo wa marehemu Msuya aliyefahamika kwa jina la Bahati Msuya akiwa anasaidiwa kupelekwa kwenye gari mara baada ya kuahirishwa kwa kesi hiyo.
Mama mzazi wa marehemu Erasto akisindikizwa na wanandugu wakienda kwenye gari la familia.

Umati mkubwa wa wananchi ulifurika mahakamani hapo .Picha na  Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger