
Home »
Label 6
» Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana awakuna Wakazi wa Kahama kwa hotuba yake,avuna wanachama zaidi
Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana awakuna Wakazi wa Kahama kwa hotuba yake,avuna wanachama zaidi
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Tuesday, September 10, 2013 | 7:44 PM

Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea kadi kutoka vyama vya upinzani baada ya wananchi wengi kuridhika na hotuba yake nzuri, katika mkutano huo zaidi ya wanachama 560 wamejiunga na CCM kutoka vyama vya upinzani.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kahama wakati mkutano wa hadhara uliofanika leo mjini Kahama.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa Nape Nnauye akiwa na Mbunge wa Msalala Ezekiel Maige wakishiriki kucheza ngoma ya wakazi wa Isaka kabla ya kuhutubia kwenye mkutano wa Hadhara.

Sehemu ya Umati uliofurika kusikiliza hotuba za viongozi mahiri wa CCM, Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye leo kwenye viwanja vya CDT mjini Kahama.
Related articles
- CCM YAPOKELEWA KWA SHANGWE NA NDEREMO SHIRATU
- HAKUNA KAMA CCM NYAMONGO TARIME
- KINANA ASHUHUDIA MAABARA INAYOTEMBEA WILAYA YA SERENGETI
- DK. SEIF KHATIB AKUTANA NA KATIBU WA MAMBO YA NJE WA CHAMA CHA ANC CHA AFRIKA KUSINI.
- KINANA KUKOMESHA UMANGI MEZA WA WATUMISHI WA CHAMA NA SERIKALI
- Mwanademokrasia wa kweli hahitaji vurugu
Labels:
Label 6
0 comments:
Post a Comment