KATIBU MKUU MPYA WA UVCCM ARIPOTI OFISINI - Septemba 03,2013 - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » KATIBU MKUU MPYA WA UVCCM ARIPOTI OFISINI - Septemba 03,2013

KATIBU MKUU MPYA WA UVCCM ARIPOTI OFISINI - Septemba 03,2013

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Thursday, September 5, 2013 | 2:09 AM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkZdengUBut48bSc9KkWh6qOPlFZdIUmzbR-dxseVlcfhzcDa19Vb7CjWj00iCPvHk5Ok_fNrmk6BL5jaA7t4xRHSR6QNtlDL1yg_rKiKWYvZaDzEKx1WPMljyWmSxnzoOfA8ov6RLEwS0/s1600/DSC_1260.jpgKatibu Mkuu mpya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Sixtus Mapunda (wapili kushoto) akiwasalimia baadhi ya watumishi wa makao makuu ya Jumuia hiyo, jijini Dar es Salaam, alipowasili kuripoti rasmi ofisini kwake, kwenye jengo la makao makuu hayo ya UVCCM, lililopo kwenye makutano ya Barabara ya Morogoro na Lumumba. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo, Mfaume Ally Kizigo ambaye Baraza Kuu la UVCCM lililofanyika Zanzibar juzi, lilimuithinisha kuendelea na nafasi hiyo aliyokuwa akiishikilia zaidi ya miaka minne sasa.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh8zNnpFIUKPhlpusmDrHIKoo8BxHOsip3ifyUbk6A9NQfVlEdV8Gn18d_ABD7hyphenhyphenDxYsOOAdWj540AWpbXPKpGWXEi_Eb0O-haVVVBntEcJWojMMHXU5oy-BVUGA0uBXpkF9-YcsreBfcuQ/s1600/DSC_1305.jpg
 "HAPA NDIYO OFISINI KWAKO MKUU" Kizigo akisema, wakati wakiwa ofisini kwa Sixtus, makamo makuu ya UVCCM, Dar es Salaam.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFSSTppxopUsV2kHTIF4zkpXKHWM-V13vxImlgQZZtRaTVo7jv89NGjES4BmvgJByw5o8kQeBLIQO0QyZsrq7kUZ4MbcQ9cTIc3bCUOKzhde-8CgCj98UW1SUAsR9GZ1IpjSSBvuZWW1UK/s1600/DSC_1313.jpgSixtus na Kizigo wakipeana mikakati ya kazi, baada ya mapokezi ya viongozi hao makao makuu ya UVCCM Dar es Salaam, - Septemba 03,2013.
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger