
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,Mbunge wa Jimbo la Swola ndugu Ahmed Salum na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakicheza na nyoka aina ya chatu wakati wa mapokezi katika kata ya Didia, Luhambo wilaya ya Shinyanga Vijijini.



Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa kata ya Didia na kuwashukuru kwa mapokezi mazuri waliyowapa.

Mbunge wa Jimbo la Swola Ahmed Salum akiwasalimu wakazi wa Luhambo Didia wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana.

0 comments:
Post a Comment