Dk Shein amtembelea mfugaji wa N'gombe wa maziwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mkurugenzi wa Kituo cha habari kwa wafugaji wa Ngo'mbe wa maziwa Reimond Van Gent,alipofika kuangalia familia ya ufugaji wa Ngo'mbe wa maziwa na utengenezaaji wa Jibini (Cheese) akiwa katika ziara nchini Uholanzi
Hivyo ni vinoo vya Jibini (Cheese) vikiwa tayari kwa kuuzwa kwa watumiajai mbali mbali ambavyio vimwetengenezwa na Kaasboerderij captein, ambapo familia ya Watu wanne wenye kufuga Ngo'mbe wa maziwa katika mji wa Uholanzi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipotembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Frank Captein,namna ya utengeneza ji wa Jibini (Cheese)alipotembelea eneo hilo akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Frank Captein,wakati alipotembelea katika eneo maalum lililohifdhiwa Jibini (cheese) iliyokuwa imehifaddhiwa tayari kwa mauzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Frank Captein,wakati alipotembelea ndama wadogo jinsi wanavyolelewa katika famili ya BW.Captein,Nchini Uholanzi akiwa katika ziara ya kiserikali na ujumbe wake.
Ng'ombe wa Maziwa wanaofugwa na Familia ya BW.Captein jinsi wanavyopata matunzo na huduma bora za kiufugaji ,takribana Ngo'mbe hawa wanatoa Lita nyingi sana za maziwa ndiyo ambayo hutengenezewa hiyo Cheese au Jibini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na ujumbe wake walipotembelea katikaa kituo cha ufugaji wa ngombe wa maziwa kwa Familia ya Bw.Captein Nchini Uholanzi katika ziara ya Kiserikali. [Picha na Ramadhan Othman,Uholanzi.]
0 comments:
Post a Comment