Bondia Francis cheka apokewa kwa shangwe Mkoani Morogoro. - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » Bondia Francis cheka apokewa kwa shangwe Mkoani Morogoro.

Bondia Francis cheka apokewa kwa shangwe Mkoani Morogoro.

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Tuesday, September 3, 2013 | 9:06 PM


Cheka akiwa sambamba na Mkanda wake aliokabidhiwa Agost 30 baada ya kumtwanga Mmarekani Phil William mwishoni mwa wiki ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar,pichani bondia huyo akiwa na mashabiki wake wakati alipokuwa akiwasili mkoani Morogoro anakoishi mapema jana jioni.

Msafara kuelekea katikatiya mji ukiendelea

Msafara kuelekea katikati ya mji ukiendelea

Cheka akizungumza na umati mkubwa wa watu uliofurika kwenye ukumbi wa Old Vai jana majira ya saa 12 jioni kwenye mapokezi hayo ya Cheka kulikuwa na vituko kibao kikiwemo cha Mlemavu wa miguu aliyenusurika kugongwa na gari alipotaka kumshika mkono Cheka baada ya kuona tukuio hilo Cheka alisimamisha msafara huo na kumshika mkono Mlemavu huyo.
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger