Zawadi ya paundi £4,000 imetangazwa kutolewa na Jeshi la Polisi Zanzibar kwa atakayesaidia kupatikana kwa watuhumiwa hao.
President Jakaya Kikwete visits the two British nationals who were attacked with acid
General view of the narrow street in Stone Town, where it is believed two British nationals were attacked with acid
Tourists walk in Stone Town past the spot where two young British women suffered an acid attack
The St Monica Nursary school in Stone town, where two British women volunteered to teach
Locals look at newspaper headlines in Stone Town, where two young British women suffered an acid attack
The plane carrying the two British girls, Katie Gee and Kirstie Trup, who were attacked with acid
The plane carrying the two British girls, Katie Gee and Kirstie Trup, who were attacked with acid
The plane carrying the two British girls, Katie Gee and Kirstie Trup
Kirstie Trup
Kirstie Trup
Katie Gee
Kirstie Trup
Last picture of Kirstie Trup and Katie Gee before they left for Tanzania
Kirstie Trup (L) and Katie Gee
The women were flown to Tanzania's economic capital Dar es Salaam for treatment [Reuters]
Katie's mother Nicky described her daughter's burns as horrendous
The two acid attack victims, Kirstie Trup and Katie Gee arrive at Chelsea and Westminster Hospital
Flowers were delivered to the home of Kirstie Trup
The two acid attack victims, Kirstie Trup and Katie Gee arrive at Chelsea and Westminster Hospital
The two acid attack victims, Kirstie Trup and Katie Gee arrive at Chelsea and Westminster Hospital
The two acid attack victims, Kirstie Trup and Katie Gee arrive at Chelsea and Westminster Hospital
The two acid attack victims, Kirstie Trup and Katie Gee arrive at Chelsea and Westminster Hospital
The two acid attack victims, Kirstie Trup and Katie Gee arrive at Chelsea and Westminster Hospital
General view of Zanzibar Police Station where people are currently being questioned in connection with the acid attack
Kirstie Trup
A picture has emerged showing acid burn injuries to one of the girls.
Footage of Katie Gee, one of the two British girls injured in an acid attack in Zanzibar
Footage of Katie Gee, one of the two British girls injured in an acid attack in Zanzibar
The family home of Kirstie Trup, one of the two British teenager women that were burned in an acid attack while volunteering to teach children in Zanzibar
Mama mwenye hasira wa mmoja wa wasichana wa Uingereza waliomwagiwa acid mjini Zanzibar ameungana na bintiye nchini humo baada ya jana kuwasili kwa ndege kwenye hospitali ya Chelsea and Westminster Hospital .
Mama huyo, Nicky Gee alionekana kushindwa kujizuia kulia baada ya kumuona binti yake Katie na rafiki yake Kirstie Trup wakishuka kwenye ambulance akiwa amefunikwa blanket.
Wasichana hao ambao wote wana miaka 18 walipelekwa kwenye hospitali ya Chelsea and Westminster kutibiwa haraka majeraha ambayo baba yake Katie ameyaita mabaya yasiyoelezeka.
Wote wameungua vibaya baada ya kumwagiwa tindikali usoni wakati walipokuwa wakiingia kwenye mgahawa mjini Zanzibar.
Hilo lilikuwa shambulizi la tatu wakati walipokuwa visiwani humo. Awali mmoja wa wasichana hao alishambuliwa na msichana wa kiislam baada ya kumsika akiimba wimbo wakati wa mwezi wa Ramadhan.
Katie na Kirstie
Polisi wamedai kuwa washukiwa saba akiwemo muongozaji wa watalii wamekamatwa jana asubuhi.Na sasa zawadi ya paundi £4,000 imetangazwa kutolewa na polisi Zanzibar kwa atakayesaidia kupatikana kwa kwa wahalifu hao.Marafiki wanadai kuwa walikuwa wamelengwa kushambuliwa kwasababu walikuwa ni wayahudi na polisi wanadai kuwa walikuwa wanataka kuongea na mhubiri wa kiislam ambaye huenda ndiye alipanga shambulizi hilo.
Polisi wamedai kutoa warrant ya kukamatwa kwa Sheikh Issa Ponda Issa, ambaye inasemekana mafundisho yake yamechochea mashambulizi hayo ya tindikali.
Wasichana hao watapata matibabu ya kina kutokana na mejeraha waliyoyapata kwa kumwagiwa tindikali hiyo iliyomwagika usoni, kifuani, miguuni na mgongoni.
Katie
Mikono yao pia imejeruhiwa kwakuwa walikuwa wakijaribu kufuta tindikali hiyo. Baba yake na Miss Trup, Marc, 51, milionea na daktari wa meno alisema mpita njia alienda kuwasaidia wasichana hao baada ya kushambuliwa na alimpigia simu.Marafiki hao walikuwa wameenda Zanzibar kama walimu wa kujitolea kwenye kituo cha watoto yatima. Tukio hilo linaweza kuathiri vibaya sekta ya utalii visiwani Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment