RADIO 5 WAIBUKA WASHINDI WAKWANZA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » RADIO 5 WAIBUKA WASHINDI WAKWANZA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI

RADIO 5 WAIBUKA WASHINDI WAKWANZA MAONYESHO YA NANENANE KANDA YA KASKAZINI

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, August 10, 2013 | 12:22 AM

 
Wafanyakazi  wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio 5 kushoto ni Semio Sonyo ,Sarah Keiya meneja masoko,katikati ni David Rwenyagira na Deo Gee wakifurahia  kikombe cha ushindi ambapo jana waliibuka washindi wa kwanza kwenye maonyesho ya 20 ya Nane Nane kwa Kanda ya Kaskazini,yaliyofanyika katika viwanja vya 
Themi,Njiro jijini Arusha
Meneja masoko wa Tan Communication Media  inayo miliki kituo cha  Radio5 Sarah Keiya pamoja na Dadiv Rwenyagira wakiwa wameshikilia kikombe mara baada ya kuibuka washindi wa kwanza maonyesho ya 20,ya nane nane kwa Kanda ya Kaskazini yaliyofanyika katika viwanja vya Themi,Njiro jijini Arusha.

Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger