MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA, AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA, AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA, AFUNGUA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Friday, August 23, 2013 | 1:51 PM

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPWthugGRry7_Lx7gVrm84iYeCCErnFuLBBCWxVQ7wpYGdPirfglCzBtYLw11JXFiJGkp3lvRfnOY7ixUjA_3wNf8BZhOIpohTTuoWzELoMSFpj6wE5_Et25ATU6Zaa7flgF_f51Klnf_2/s1600/1.jpg
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki.


Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana .

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma 
na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Adam Kimbisa.

Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye

Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Khamis Sadifa Juma.





Mjumbe wa NEC, Prof. Anna Tibaijuka akipitia Katiba ya Chama kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ndani ya ukumbi wa NEC.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1MjIqU71lz7CshXQ9L98bfn5S_nYkgrKM_8rAQqAus-8PlM-9lmMeg8r5haGf0LAnT2xWDKyyB9pe-ZG47HYuw16gdjpDzYLc-3WPkG1UsH2m3dmvQgIFcFSurgUZ_XT-W5l70CraHBZU/s1600/13.jpg
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishina mawazo na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Stephen Wassira kabla ya Kikao cha Kamati kuanza leo Dodoma kwenye Ukumbi wa NEC.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEie5bAsecGnhAv5G9gIv7KZHa5-M61Uq-AGjTYKegndQL9DiewGJ__EdNlg_Z4DLCLlX72UC3VjvpT5lajuTFZ-PM_UKAE0dVVtZIVTHhbI4RQwLqA9zcJlT7w8m1qjwCzn6qv59qAU2x1B/s1600/16.jpg
Wajumbe wa Kamati Kuu wakijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu,Dodoma 23 Agosti 2013.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEge-pBfyL_OvNwVKmn7586cZMYuu81p6dbei1peFGyRdhad-I3qa7uA-3Uaz0smwxmo0q-D5qytoiTQKBg-oP_I9hfAmdR73wVKOWlIbOWR8CZ6lnwxfUPvc5gd-lCzHX6jlD5ZcmPU2CxU/s1600/7.jpg
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi  ndugu Octavian Kimario .
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgU9t-TbLADJTGTEcBb_ipKfsU3Yzpb_K3P2zLjZA3ObfmtZvJPrco2ip4lGGpWgX7TDaIih4t8F9_QSZYB7ig0PNykmEjHsF4dmi1aPFH4yYCovAoFI-S1ui1hvQZPJw6it2d327KUMg18/s1600/11.jpg
Watumishi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia kwa furaha ujio wa Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete mara tu alipowasili Dodoma tayari kwa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa ya Chama.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPK0xCgxgI4bJDUWh3aQFi_l3ObTW_zDsqJpamXKOwbID1ZfdgBx7FXThs94W8gYKcy87vxj7ZL67F48pYGHlwRs3hJrXjfOZ58xW8gxrOmrN5E7gx-wAtNqJEhSORMJ0yb6q-tdbhC98v/s1600/21.jpg
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Jakaya Mrisho Kikwete ,akifungua kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya 
Taifa CCM,Kushoto kwake ni Makamu wa CCM Zanzibar Ali Mohamed Shein na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM
 Ndugu Abdulrahman Kinana. Picha na Adam Mzee
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger