MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA TAFADHALI ZUNGUKA MITAANI UJIONEE - AFYA KATA ZIKO LIKIZO - Sema Naye
Headlines News :
Home » , » MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA TAFADHALI ZUNGUKA MITAANI UJIONEE - AFYA KATA ZIKO LIKIZO

MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA TAFADHALI ZUNGUKA MITAANI UJIONEE - AFYA KATA ZIKO LIKIZO

Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Friday, August 23, 2013 | 7:09 AM

HILI JENGO LILIKUWA LA MAHAKAMA YA MWANZO KALOLENI LIMEACHWA GOFU NA HIVYO KUGEUKA KUWA DAMPO LA TAKATAKA KAMA ZINAVYOONEKANA PICHANI.
MAJI SAFI NA MAJI TAKA ARUSHA,HAYO MAJI SIYO YA MVUA , BALI NI MAJI SAFI YANATIRIRIKA KUTOKA MAENEO YA KILIMANJARO EXPRESS ,HIZI PICHA NA ZA MAENEO YA KWA DR. GULETI.
BARABARA YA POLISI MTARO UNAOPELEKA MAJI YA MVUA MTO NAURA KUTOKA MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA (TRA). BAADHI YA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA WAMEGEUZA KUWA DAMPO.
HUYU NI MKAZI KATIKA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA, AKIJITAHIDI BILA WOGA KUHAMISHA TAKATAKA KWENYE ENEO LA MIGOMBA KUSOMBEA BARABARANI BILA AIBU
ENEO LA KALOLENI MKABALA NA SHULE YA MSINGI NA SEKONDARI KALOLENI HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KAMA ILIVYONASWA NA MPIGA PICHA WETU.



WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA,TUWE NA AIBU KATIKA KUFANYA MAMBO YANAYOLITIA AIBU JIJI LETU, WANAOFANYA HIVYO WAONE AIBU WAACHE KWANI HUU SIO USTAARABU.

VIONGOZI BILA USHIRIKIANO WA WANANCHI HAWATAWEZA KUFANIKISHA USAFI NA USTAWI WA JIJI LETU. HIVYO NAWASIHI TUWAPE USHIRIKIANO KATIKA KUKEMEA MAMBO KAMA HAYA NA MENGINE MENGI YANAYOJITOKEZA KATIKA JIJI LETU LA ARUSHA.
Share this article :

0 comments:

 
Support : 255-272-545-994 | Jasper A.K. | Mas Template
Copyright © 2011. Sema Naye - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger