Mhe. PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UWEKEZAJI MANYARA - August 23,2013
Written By Sema Naye - Naipenda Tanzania on Saturday, August 24, 2013 | 4:08 AM
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati - August 23,2013 .
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akitazama asali wakti alipotembela Banda la Halmashauri ya Wilaya Mbulu kabla ya kufungua kongomano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati leo. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr, Mary Nagu na Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Erasto Mbwilo - August 23,2013.
Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akitazama mbolea wakati alipotembelea banda la kiwanda cha Mbolea cha Minjingu kabla ya kufungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati leo. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara, Erasto Mbwilo.- August 23,2013
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akizungumza na wanachama wa kikundi cha ushonaji Ufukuba katika banda la kikundi hicho kabla ya kufngua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika mkoa wa Manyara mjini Babati - August 23,2013.
Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda akifungua Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara mjini Babati - August 23,2013.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Kwanza la Uwekezaji katika Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mhe Mizengo Pinda wakati alipofungua kongamano hilo mjini Babati - August 23,2013.
0 comments:
Post a Comment