Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) akiongea na Waziri wa Uchukuzi wa Malawi Mh. Sidik Mia(kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam(katikati) ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Hebert Mrango.
Waziri wa Ujenzi Mh. Dkt. John Magufuli (kushoto) akiaagana na Waziri wa Usafirishaji kutoka Malawi (kulia) Mh. Sidik Mia pamoja na baadhi ya ujumbe wake baada ya kumtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es salaam,(katikati mwenye tai nyekundu) ni Waziri wa Nishati wa Malawi Mh. Ibrahim Matola.
Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).
0 comments:
Post a Comment