Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha hivi karibuni na kupatiwa mafunzo juu ya uzazi wa mpango,
Warembo wa Miss Tanzania wakifuatilia mafunzo juu ya uzazi wa mpango na wakati salama wa umri wa kuanza kupata mtoto.
Picha ya pamoja kati ya warembo na wafanyakazi wa Maria Stop Kanda ya Kaskazini ilipigwa.
0 comments:
Post a Comment